Wanafunzi wawili wa Mombasa wasakwa siku nane baada ya kutoweka @kenyacitizentv
Wanafunzi wawili wa Mombasa wasakwa siku nane baada ya kutoweka  @kenyacitizentv
Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Wanafunzi wawili wa kidato cha tatu mjini Mombasa wanaendelea kutafutwa, siku nane baada ya kutoweka walipoondoka nyumbani.

Wazazi wa wanafunzi hao wamesema juhudi za kuwatafuta wasichana hao hazijazaa matunda. Walisema walikuwa wameenda dukani kununua maziwa kabla ya kutoweka.
Wanafunzi wawili wa Mombasa wasakwa siku nane baada ya kutowekaSafaricom, RMS caravan tours UkambaniIEBC yajadili mikakati ya usalama wa uchaguzi mkuu ujaoDP Kindiki roots for public private partnershipWakulima wa chai Nandi wapongeza kupunguzwa kwa bei ya mboleaRuto calls for unity as 2027 politics intensifyWazee wa Agikuyu kirinyaga wakemea siasa za fujo na ghasia nchiniMaraga flags corruption and political influence in police recruitment| MAWAIDHA NA BI MSAFWARI | NI ZIPI ISHARA ZA MUME MSALITI?Bankers commit to lower lending rates this DecemberOminde and Musembi crowned Netword Padel championsSchleck, Aleper retain Safari Gravel Series titles
Citizen TV Kenya |

Wanafunzi wawili wa Mombasa wasakwa siku nane baada ya kutoweka

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER