Uploaded August 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Wakulima wa chai katika Kaunti ya Nandi wamepongeza hatua ya serikali ya kupunguza bei ya mbolea hadi Shilingi 2,000 kutoka 2,500 wakisema hatua hiyo itasaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuongeza mavuno.