Uploaded August 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Wazee wa jamii ya Agikuyu Kaunti ya Kirinyaga wamekemea vikali ongezeko la siasa za fujo na ghasia nchini, wakitaka viongozi wa kisiasa kutumia njia za amani katika kushindania uongozi.