Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku leo amefika mbele ya tume ya NCIC na kuhojiwa kuhusu matamshi yanayodaiwa kuwa ya uchochezi na ambayo yanatishia utangamano kabla ya uchaguz mkuu wa mwaka wa 2027. Uchunguzi dhidi ya Waziri Ruku ulianza mwezi Julai kabla ya kuagizwa kufika mbele ya NCIC mwezi Agosti

![| MWENGE WA KAUNTI | Mtaala wa CBE [ Part 5 ]
#CitizenTV #citizendigital | MWENGE WA KAUNTI | Mtaala wa CBE [ Part 5 ]](https://i.ytimg.com/vi/tA9AeiwSlkU/mqdefault.jpg)