St. Joseph Starlets na LYSA watwaa taji la Chapa Dimba @kenyacitizentv
St. Joseph Starlets na LYSA watwaa taji la Chapa Dimba  @kenyacitizentv
Uploaded August 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Timu za St. Joseph Starlets Murang'a na Laikipia Youth Soccer Academy, LYSA, zimetawazwa mabingwa wa toleo la tano la Safaricom Chapa Dimba mkoa wa Kati baada ya kushinda fainali zilizochezwa Jumapili jioni.

St. Joseph Starlets iliilaza Barcelona Rising Starlets 5-1 na kutwaa taji la wasichana, na kumaliza kusubiri kwa misimu mitano kwa taji la mkoa.

Kwa upande wa wavulana, mabingwa watetezi LYSA walipenya kisiri baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Masfo Academy, huku Patrick Ngaira akifunga bao la pekee.
St. Joseph Starlets na LYSA watwaa taji la Chapa Dimba| Sporty Monday | Europa League: All English Final | Part 8Wakfu wa Equity Group umeandaa Kongamano la 16| JUKWAA LA AFYA | Tatizo la kutokwa na jasho jingi [Part 3]Rais Ruto hajali kejeliWakaazi wataabika magadi baada ya kampuni ya Tata Chemicals kusimamisha shughuli zakeWafanyikazi wa uwanja wa JKIA wasitisha mgomo waoThomas Onduto died in the 1994 Mtongwe Ferry tragedy 30 years agoDP Kindiki leads UDA campaign in Gitiburi, Mbeere North, Embu CountyChampion Jordan Schleck defended his title in the elite raceWasafiri wahangaika kwenye viwanja vya ndege licha ya mgomo kusitishwaGavana wa Machakos Wavinya Ndeti asitisha mjadala wa mswada wa fedha 26/27
Citizen TV Kenya |

St. Joseph Starlets na LYSA watwaa taji la Chapa Dimba

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER