Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti amekataa kuidhinisha bajeti ya kaunti ya Sh17.8 bilioni, na kusababisha mzozo mpya na Bunge la Kaunti.