Wasafiri wahangaika kwenye viwanja vya ndege licha ya mgomo kusitishwa @kenyacitizentv
Wasafiri wahangaika kwenye viwanja vya ndege licha ya mgomo kusitishwa  @kenyacitizentv
Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Mamia ya wasafiri wa ndege wameendelea kuhangaika katika viwanja vya ndege nchini, saa kadhaa baada ya wafanyakazi wa viwanja vya ndege kusitisha mgomo wao.

Baadhi ya wasafiri wamelazimika kupanga upya safari zao baada ya kampuni kadhaa za ndege kusitisha safari kwa hadi wiki moja. Wasafiri hao sasa wanasema wamekosa namna ya kufika katika maeneo waliyokuwa wakielekea kwa shughuli zao.
Wasafiri wahangaika kwenye viwanja vya ndege licha ya mgomo kusitishwaGavana wa Machakos Wavinya Ndeti asitisha mjadala wa mswada wa fedha 26/27Milk shortage hits supermarkets as supplies declineFamily searches for their missing son who is associated with Pastor Mackenzie cultMhariri wa Standard Group Alex Kiprotich aliyetekwa nyara apatikana mmasinga damCITIZEN NIPASHE ~ AUGUST 31, 2026Government braces for poor harvestMigori Youth intensify promotion push ahead of crucial Equity clashIPOA says it recorded 127 deaths from protestsDuale: Mitishamba ina mchango katika matibabu ya baadhi ya magonjwaGachagua accuses DCI boss of failing to investigate cases involving police officersTower of Babel down protesters in Kericho toss the wheelbarrow down
Citizen TV Kenya |

Wasafiri wahangaika kwenye viwanja vya ndege licha ya mgomo kusitishwa

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER