Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Takriban wiki moja tu baada ya ziara ya maendeleo ya Rais William Ruto eneo la Narok Kusini jinamizi la Msitu wa Mau limeibuka upya, familia 13,000 zilizofurushwa zikitishia kurejea ndani ya msitu huo iwapo serikali itafeli kuwalipa ridhaa.