Wakaazi wasambaziwa maji kwa mgao katika mji wa Meru @kenyacitizentv
Wakaazi wasambaziwa maji kwa mgao katika mji wa Meru  @kenyacitizentv
Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Wakaazi wa Mji wa Meru Wamehimizwa kutafuta njia Mbadala za kuhifadhi Maji nyumbani, kutokana na uhaba wa Maji unaosababishwa na ukame ambao umeathiri mito na chemichemi za Maji yanayotumika Mjini Meru.
Wakaazi wasambaziwa maji kwa mgao katika mji wa Meru| DAY BREAK | Maraga: Police under capture
Citizen TV Kenya |

Wakaazi wasambaziwa maji kwa mgao katika mji wa Meru

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER