Utata wa kampuni ya Tata chemicals @kenyacitizentv
Utata wa kampuni ya Tata chemicals  @kenyacitizentv
Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Rais William Ruto anatarajiwa kuzuru Kaunti ya Kajiado wiki hii, huku wakazi wa Magadi wakitarajia kutumia ziara hiyo kumfikishia kilio chao kuhusu kufungwa kwa kampuni ya Tata Chemicals. Wakazi hao sasa wanamtaka Rais kuhakikisha wanasikizwa na kushirikishwa katika mazungumzo yoyote kuhusu kufunguliwa tena kwa kampuni hiyo
Utata wa kampuni ya Tata chemicalsFive hospitalized after drinking suspected illicit brew in Kandara, Muranga CountyKenyas Gold feature | Onions with drip irrigationSt. Joseph Starlets na LYSA watwaa taji la Chapa Dimba| Sporty Monday | Europa League: All English Final | Part 8Wakfu wa Equity Group umeandaa Kongamano la 16| JUKWAA LA AFYA | Tatizo la kutokwa na jasho jingi [Part 3]Rais Ruto hajali kejeliWakaazi wataabika magadi baada ya kampuni ya Tata Chemicals kusimamisha shughuli zakeWafanyikazi wa uwanja wa JKIA wasitisha mgomo waoThomas Onduto died in the 1994 Mtongwe Ferry tragedy 30 years agoDP Kindiki leads UDA campaign in Gitiburi, Mbeere North, Embu County
Citizen TV Kenya |

Utata wa kampuni ya Tata chemicals

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER