Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Emmanuel Gitumo kutoka Kaunti ya Meru ndiye mshindi wa shilingi milioni moja katika kampeni ya Shabiki InaGive. Mfanyabiashara huyo mdogo aliibuka mshindi wa Wiki ya nne ya kampeni hiyo. Emmanuel aliibuka mshindi baada ya kupata multiplier ya juu zaidi katika mchezo wa Crash kwenye Shabiki.com. Anasema fedha hizo zitamsaidia kuendeleza masomo yake na kujijengea nyumba nzuri.

![| JUKWAA LA AFYA | Tatizo la kutokwa na jasho jingi [Part 1]
#CitizenTV #citizendigital | JUKWAA LA AFYA | Tatizo la kutokwa na jasho jingi [Part 1]](https://i.ytimg.com/vi/lpNRKAt_imk/mqdefault.jpg)