Kindiki awataka magavana kumaliza mgomo wa wauguzi @kenyacitizentv
Kindiki awataka magavana kumaliza mgomo wa wauguzi  @kenyacitizentv
Uploaded August 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amewataka magavana na chama cha wauguzi kutatua kwa haraka mgomo wa wauguzi unaoendelea. Kwenye kikao cha Baraza la Pamoja la Serikali Kuu na Kaunti kuhusu masuala ya bajeti na uchumi, maafikiano pia yamefanywa kuwa magavana watawaajiri wafanyakazi wa UHC kwa kandarasi za kudumu. Makubaliano haya yanatarajiwa kumaliza mvutano kati ya magavana na Wizara ya Afya kuhusu ajira za wafanyakazi wa UHC. May Muoki anaaarifu.
Kindiki awataka magavana kumaliza mgomo wa wauguziAll systems go for Chepsaita Cross Country runSchool heads decry shortfall in government capitationWakazi wa Kaunti ya Migori wamehimizwa kujihusisha na masuala ya kisiasa yanayoweza kukuza uchumiAfrican women to gain access to opportunities in tech| JUKWAA LA AFYA | Tatizo la kutokwa na jasho jingi [Part 1]| POWER TALK | KENYA HOSTS CONFERENCE TO BOOST INVESTMENT DEALS | JOHN MWENDWADuale refuses to apologise over controversial remarksKalonzo ataka mageuzi, ahimiza kukamilishwa kwa barabara ya Thika–GarissaOrengo presidential bid jolts Linda Mwananchi| Kenyas Gold | Ubora wa mbolea asili | Gold ChatTimu yapokea bendera kutoka kwa Rais Ruto
Citizen TV Kenya |

Kindiki awataka magavana kumaliza mgomo wa wauguzi

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER