Uploaded November 2026 | Updated November 2026, 1 hour ago
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini Gor Mahia wamerudia makali yao baada ya kuilaza Posta Rangers kwa mabao mawili kwa moja uwanjani Nyayo.
Ushindi huo muhimu kwa K'Ogalo umepatikana kufuatia bao la dakika ya 81 lililofungwa na nahodha Alpha Chris Onyango. Gor walitangulia kwa bao la dakika ya 5 lililojibiwa dakika tatu baadaye na kisha mechi hiyo kuamuliwa dakika za majeruhi. Kwingineko, KCB FC wamerudi kileleni mwa ligi baada ya ushindi mwembamba wa moja bila dhidi ya 3K FC kwenye mchezo mwingine wa Ligi Kuu.