Uploaded November 2026 | Updated November 2026, 1 hour ago
Watu watatu, wanaume wawili na mwanamke mmoja wamefariki papo hapo huku watu wengine wawili wakipata majeraha mabaya baada ya gari dogo la kibinafsi kugongana na lori katika eneo la salama kwenye barabara kuu ya Mombasa-Nairobi