Obado awasilisha ilani ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya miaka 25 @kenyacitizentv
Obado awasilisha ilani ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya miaka 25  @kenyacitizentv
Uploaded November 2026 | Updated November 2026, 12 hours ago
Tukisalia na hayo, aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, amewasilisha ilani ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kifungo cha miaka 25 gerezani. Obado anapinga pia uamuzi wa Mahakama Kuu uliompata na hatia ya mauaji ya Sharon Otieno.

Kama anavyoripoti Brenda Wanga, hukumu iliyotolewa leo imeibua hisia mseto, huku baadhi wakiisifu na wengine kuikosoa.
Obado awasilisha ilani ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya miaka 25| SPORTY MONDAY | AFCON 2027 qualifiers| CITIZEN WEEKEND | Somalia Gov’t Dismisses Supreme Court Ruling On Elections. What Next?Government to pay over KSh 3bn in Safaricom stake sale advisory fees| MWENGE WA KAUNTI |  Silaha ya mitandao [Part 2]Wataalamu wa afya Ngong wataka serikali kuongeza dawa za kisukari na shinikizo la damuWasanii chipukuzi Samburu kupata studio ya kisasa ya muziki ya shilingi milioni 26Vijana na akina mama Mathare wanufaika na vifaa vya biashara kutoka MSEATume ya IEBC yakutana na wanahabari na wadau wengine kujadili mikakati ya uchaguzi ujaoMonday report interview | Ruto orders crackdown on goons, opposition alleges state links[Part 1]Sisibo marathon launched in Eldoret with KSh5m prize for winnersWetang’ula orders probe into Sabina Chege’s missing phone
Citizen TV Kenya |

Obado awasilisha ilani ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya miaka 25

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER