McCarthy awajumuisha nyota watatu wa Rising Stars @kenyacitizentv
McCarthy awajumuisha nyota watatu wa Rising Stars  @kenyacitizentv
Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Kocha wa timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars, Benni McCarthy, amewajumuisha nyota watatu wa Rising Stars katika kikosi chake kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027.

Aldrin Kibet wa Celta Vigo, Amos Wanjala wa Valencia ya Uhispania na Kevin Wangaya wa Nairobi United wamejumuishwa katika kikosi kitakachocheza mechi mbili dhidi ya Eritrea na Guinea.
McCarthy awajumuisha nyota watatu wa Rising StarsFamily seeks justice for slain MKU studentFRIDAY NIGHT 3rd JANUARY 2025 with SAM GITUKUWATCH LIVE: Fred Matiang’i on State of the NationWasichana wafunzwa athari za ukeketaji huko Wamba, SamburuMgomo wa wauguzi KisiiBatuk and Daughters | British soldiers accused of mistreating KenyansGachagua: This gov’t is stealing Ksh.2M every minute from the people of KenyaStudents seek clarity on Ruto funding pledgeDIASPORA CONNECT ~  JULY 25, 2026Waziri wa elimu asema wahusika walikamatwa kabla ya kuibaCitizen Nipashe 9th December, 2024
Citizen TV Kenya |

McCarthy awajumuisha nyota watatu wa Rising Stars

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER