Uploaded March 2019 | Updated September 2026, 1 day ago
This is a popular Eastern African Song from Tazania. Although closely associated with Kenyan born Fadhili William, it was written by Tanzanian, Adam Salim in 1945. It has been covered by many artises, including Harry Belafonte. Here are the lyrics :
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina
We Ningekuoa Malaika