Mahakama yasitisha uteuzi wa wanachama wa bodi ya wahandisi @kenyacitizentv
Mahakama yasitisha uteuzi wa wanachama wa bodi ya wahandisi  @kenyacitizentv
Uploaded September 2026 | Updated September 2026, 3 weeks ago
Mahakama Kuu imesimamisha kwa muda shughuli ya kuteua wanachama wa Bodi ya Wahandisi nchini, baada ya mlalamishi Francis Awino kupinga uhalali wa mchakato huo ulioanzishwa na Taasisi ya Wahandisi Kenya, IEK. Jaji Gregory Mutai ametoa amri zinazozuia IEK kuendelea na mchakato huo ulioanzishwa kupitia tangazo lililotolewa Agosti 25, 2026. IEK imezuiwa kuchuja, kuchagua, kuteua au kuwasilisha majina kwa Waziri wa Barabara na Uchukuzi, huku Waziri naye akizuiwa kuidhinisha, kuteua au kutangaza majina yatakayopatikana kupitia mchakato huo
Mahakama yasitisha uteuzi wa wanachama wa bodi ya wahandisiPOWER TALK: Standard Bank chief backs infrastructure investment86 midwives graduate from Pumwani Maternity CollegeZaidi ya madereva 10 wamekamatwa MombasaKenyas Gold | Impact of Global conflict over Agriculture | Gold Chat |Kenya eyes new approach to agricultural extension servicesSigei : Machifu wameshindwa kukomesha pombe haramuNICCO Bus license suspended over passengers deathMkandarasi kuendelea na ujenzi wa bwawa la Thwake baada ya miaka miwiliExposé reveals networks sending Kenyans to Ukraine-Russia conflictKijana auliwa na wengine sita kujeruhiwa katika shambulio la mapangaFindings on the late Cyrus Jirongos death probe indicate he died from severe internal injuries
Citizen TV Kenya |

Mahakama yasitisha uteuzi wa wanachama wa bodi ya wahandisi

SHARE TO X SHARE TO REDDIT SHARE TO FACEBOOK WALLPAPER