Alichukua mtoto wangu, alisema, anaenda kumnunulia peremende na biskuti. Ulikuwa uongo.